Mzeru Omari Nibuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Omari Mzeru Nibuka)

Mzeru Omari Nibuka (amezaliwa tar. 10 Mei 1954) ni mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Mzeru Omari Nibuka (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.