Omar Colley
Mandhari
Omar Colley (amezaliwa 24 Oktoba 1992) ni mchezaji wa kandanda kutoka Gambia anayekipiga kama beki wa kati katika klabu ya Al-Diriyah ya Saudi First Division League na pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Gambia.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Defender Omar Colley signs first professional contract". The Daily Observer. 28 Januari 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2013. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omar Colley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |