Olusegun Adewoye
Mandhari
Olusegun Adewoye (Ilesa, Jimbo la Osun, Nigeria, 1947 – Abuja, FCT, Nigeria, 2015) alikuwa mkurugenzi mkuu na mtendaji mkuu wa Shirika la Taifa la Miundombinu ya Sayansi na Uhandisi (NASENI), lililoko Abuja, Nigeria.[1]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Olusegun Oyeleke Adewoye alikuwa profesa wa Sayansi ya Vifaa na Uhandisi mwenye asili ya Kiyoruba kutoka Nigeria. Alipata cheti cha shule ya sekondari kutoka Shule ya Upili ya Kina (Comprehensive High School), Aiyetoro, Nigeria mnamo mwaka 1968, na Shahada ya Kwanza (BSc) katika taaluma ya Metalujia kutoka Chuo Kikuu cha Manchester, Manchester, Uingereza mnamo mwaka 1973.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ RapidxHTML; Amana, Destiny. "The Nigeria Academy of Engineering :: promoting excellence in technology and engineering training and practice to ensure the technological growth and economic development of Nigeria". www.nae.org.ng (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Desemba 2016. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Prof O.O. Adewoye-The Director General". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Aprili 2009. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2009.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olusegun Adewoye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |