Nenda kwa yaliyomo

Oliver Baumann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oliver Baumann (alizaliwa 2 Juni 1990 mjini Breisach) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka Ujerumani anayeeza kucheza kama mlinda lango katika klabu ya Bundesliga, TSG Hoffenheim, ambapo pia ni nahodha, na katika timu ya taifa ya Ujerumani.[1]

  1. "Steckbrief Oliver Baumann". TSG 1899 Hoffenheim. Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver Baumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.