Oleksandr Skotsen
Mandhari

Oleksandr Skotsen (28 Julai 1918 – 1 Septemba 2003) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ukraini.
Alichezea timu za Tryzub Lviv, Ukraina Lviv, Dynamo Kyiv, Olympique Charleroi na OGC Nice.
Mnamo 1950, aliwasili nchini Kanada, ambako alichezea timu za Kiukraini ambazo ni Toronto Ukrainians na Toronto Tryzub.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ МИ ПАМ’ЯТАЄМО. Олександр Скоцень – львів’янин, який забивав "Ювентусу" - ZAXID.NET Archived 24 Agosti 2010 at the Wayback Machine
- ↑ Campbell, Doug (Juni 22, 1964). "Buzzin Sparks Cantalia Win Over Toronto Ukraina Side". Montreal Star. uk. 42.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oleksandr Skotsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |