Nenda kwa yaliyomo

Olaitan Soyannwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olaitan Soyannwo ni Profesa wa Nigeria wa Dawa za Usingizi na daktari bingwa mshauri katika Chuo Kikuu cha Ibadan. Pia,Olaitan ni Katibu wa Mambo ya Nje wa Chuo cha Sayansi cha Nigeria, hapo awali, alikuwa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utafiti wa Maumivu (IASP). [1] [2][3]

  1. "Home". lifebox.org.
  2. "Members of Council". Nigerian Academy of Science. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Soyannwo, OA (2012). "Interview: Interest in pain and palliative care: an African perspective". Pain Manag. 2 (1): 19–22. doi:10.2217/pmt.11.80. PMID 24654614.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olaitan Soyannwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.