Nenda kwa yaliyomo

Ola Oni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ola Oni (19331999) alikuwa mwanauchumi wa kisiasa wa mwelekeo wa Kimaksi, mwanajamaa, na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Nigeria. Alihudumu kama mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Ibadan.[1][2]

  1. "Day Oshogbo Stood Still for Ola Oni, Articles - THISDAY LIVE". thisdaylive.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 23 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Gugelberger, Georg M. (1986). Marxism and African Literature. Africa World Press. ISBN 9780865430310. Iliwekwa mnamo 23 Februari 2015. {{cite book}}: |work= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ola Oni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.