Olívia Santana
Mandhari
Maria Olivia Santana, anajulikana zaidi kama Olívia Santana (alizaliwa 25 Machi 1965), ni mwalimu, mwanaharakati wa haki za raia, na mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Communist Party of Brazil PCdoB. Anafanya kazi kama Mbunge wa Jimbo (state deputy) katika Bunge la Jimbo la Bahia tangu mwaka 2019, ambapo aliweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuwahi kuchaguliwa katika nafasi hiyo jimboni humo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olívia Santana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |