Oku Ampofo
Mandhari
Oku Ampofo (4 Novemba 1908 - 1998) alikuwa mchongaji sanamu na daktari kutoka Ghana. Alikuwa Mghana wa kwanza kupokea ufadhili wa serikali kusomea udaktari.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Oku Ampofo – UncoverED" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-27.