Ofisi ya madeni
Mandhari
Ofisi ya madeni ni shirika linalokusanya taarifa toka kwenye akaunti za wadeni mbalimbali na hutoa taarifa hiyo kwa mashirika yenye wajibu wa kuhifadhi taarifa hizo. Mashirika haya hutumia majina mbalimbali kulingana na nchi yaliyoko. Kwa mfano, Marekani huitwa shirika la ripoti la walaji, shirika la kumbukumbu za madeni huko Uingereza, kampuni ya taarifa za madeni huko India. Wakopeshaji binafsi huweza pia kupata taarifa toka ofisi ya madeni.
Orodha ya ofisi za madeni
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-06. Iliwekwa mnamo 2017-10-20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Makala kuhusu ofisi za madeni Afrika Kusini Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ofisi ya madeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |