Nenda kwa yaliyomo

Odunayo Eweniyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Odunayo Eweniyi ni mfanyabiashara na mwanaharakati kutoka nchini Nigeria.[1][2] Ni mwazilishi mwenza na afisa mkuu wa uendeshaji wa PiggyVest [3][4][5] Pia ni mwanzilishi mwenza wa Feminist Coalition [6][7][8]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Eweniyi ni mtoto wa kwanza wa maprofesa wawili wenye ambao chimbuko lao ni kutoka jimbo la Oyo, Nigeria [9][10]

Elimu na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Eweniyi amehitimu chuo kikuu cha Covenant mnamo mwaka 2013 akiwa na shahada ya kwanza ya Uhandisi wa compyuta. Eweniyi alianza kwa kuanzisha Push CV[11][12] pamoja na Somto Ifezue na Joshua Chibueze baada ya kuhitimu mwaka 2013.[13] Miaka miwili baadae watatu hao walianzisha PiggyVest mnamo mwaka 2016.[5]

  1. Aisha Salaudeen and Robert Howell. "Nigeria's 'techpreneurs' are using technology to provide life-changing solutions to everyday problems". CNN. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  2. "Odun Eweniyi: A Head Full Of Ideas". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa American English). 2021-01-31. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  3. Nsehe, Mfonobong. "Meet Piggybank.ng, The Nigerian FinTech Startup That Just Raised $1.1million". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  4. "The Co-Founder of Piggy-Vest, Odunayo Eweniyi speaks on scaling through the odds being an entrepreneur". Businessday NG (kwa American English). 2020-09-12. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  5. 1 2 "Brains, Focus And Grit: A Profile of Odunayo Eweniyi, Co-Founder, Piggybank.ng". TechCabal (kwa American English). 2018-06-08. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  6. Maclean, Ruth (2021-03-12). "In Nigeria, 'Feminist' Was a Common Insult. Then Came the Feminist Coalition". The New York Times (kwa American English). ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  7. "12 Women Leaders That Changed The World In 2020". British Vogue (kwa Kiingereza (Uingereza)). 12 Desemba 2020. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "TIME100 Next 2021: Feyikemi 'FK' Abudu, Odunayo Eweniyi and Damilola Odufuwa". Time. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-11. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  9. "She Stood Up for #EndSARS. What Will Nigeria's Odunayo Eweniyi Do Next?". Global Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  10. Okwumbu, Ruth (2020-09-19). "We started PiggyVest to digitize 'wooden box' saving method – Odunayo Eweniyi, Co-Founder". Nairametrics (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  11. Okike, Samuel (2019-07-29). "How I Work: Odunayo Eweniyi, PiggyVest Co-founder and Chief Operations Officer". Techpoint Africa (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-03-22.
  12. "Odunayo Eweniyi - from jobless to job connector". sheleadsafrica.org. 8 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 2021-03-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "Odunayo Eweniyi: How we built PiggyVest through multiple trials". TechCabal (kwa American English). 2020-06-02. Iliwekwa mnamo 2021-03- 22. {{cite web}}: Check date values in: |access-date= (help); line feed character in |access-date= at position 9 (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Odunayo Eweniyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.