Nenda kwa yaliyomo

Odo wa Châteauroux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Odo ya Châteauroux)
Odo wa Châteauroux

Odo wa Châteauroux (pia anajulikana kama Odo wa Tusculum, 1190 hivi – 25 Januari 1273) alikuwa mwanateolojia na mwanafalsafa wa scholastiki kutoka Ufaransa, pamoja na kuwa askofu, Balozi wa Papa na kardinali.

Alijulikana kama mhubiri mahiri na mhamasishaji wa vita vya msalaba. Zaidi ya mahubiri 1000 aliyotoa bado yamehifadhiwa hadi leo.[1]

  1. "Le Portail Francophone des Thèses Electroniques - en construction". cyberdocs.univ-lyon2.fr.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.