Odette Gnintegma
Mandhari
Odette Gnintegma (alizaliwa 22 Aprili 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Togo anayekipiga kama kiungo mshambuliaji kwa klabu ya Morocco ya Raja Ain Harrouda pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Togo.
Gnintegma amewahi kuichezea klabu za Tempête FC na Athlèta FC nchini Togo, na kwa sasa anacheza kwa Raja Ain Harrouda nchini Morocco.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Maroc: Odette Gnintegma, la Togolaise qui éblouit par son talent". Togo Foot (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-08. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odette Gnintegma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |