Nenda kwa yaliyomo

Octavio Paz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Octavio Paz

Octavio Paz (31 Machi 191419 Aprili 1998) alikuwa mshairi na mwanasiasa kutoka nchi ya Mexiko. Tangu mwaka wa 1945 alifanya kazi kama balozi kwa ajili ya nchi yake. Mwaka wa 1990 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Octavio Paz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.