Oby Kechere
Mandhari
Oby Kechere (anajulikana zaidi kama Ms Koi Koi) ni mwigizaji na muongoza filamu wa Nigeria.[1] Anatokea Mbaise, Jimbo la Imo, Nigeria.[2]
Alijiunga na tasnia ya filamu ya Nigeria, inayojulikana kama Nollywood, mwaka 2001, na kucheza katika filamu maarufu ya August-Meeting.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Sun News On-line| Showpiece". www.sunnewsonline.com. Iliwekwa mnamo 2026-01-21.
- ↑ "Oby Kechere (Ms Koi-koi) - NigeriaDailyNews.com". content.nigeriadailynews.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2026-01-21.
- ↑ "Oby Kechere biography, net worth, age, family, contact & picture". www.manpower.com.ng. Iliwekwa mnamo 2026-01-21.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oby Kechere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |