Nenda kwa yaliyomo

Nyotamkia zilizotembelewa na vyombo vya angani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya nyotamkia zilizotembelewa na vyomboanga

Nyotamkia
(kometi)
Mwaka wa kugunduliwaChomboangaMwaka wa ziaraImekaribia hadi kilomitaMaelezo
Giacobini–Zinner1900ICE19857800chomboanga kimepita
Halleyimejulikana tangu kaleVega 119868889chomboanga kimepita
Halleyimejulikana tangu kaleVega 219868030chomboanga kimepita
Halleyimejulikana tangu kaleSuisei1986151000chomboanga kimepita kwa mbali
Halleyimejulikana tangu kaleGiotto1986596chomboanga kimepita
Grigg–Skjellerup1902Giotto1992200chomboanga kimepita
Borrelly1904Deep Space 120012171[1]chomboanga kimepita
Wild 21978Stardust2004240chomboanga kimepita; returned samples to Earth
Tempel 11867Deep Impact2005kometi imegongwachomboanga kimepita; kilipiga kasoko kwa risasi ya impactor
Hartley 21986EPOXI
(sawa na chombo cha Deep Impact)
2010700chomboanga kimepita; ndiyo kometi ndogo zaidi iliyotembelewa hadi 2014
Tempel 11867Stardust2011181chomboanga kimepita; kilipiga picha za kasoko iliyosababishwa na Deep Impact
Churyumov–Gerasimenko1969Rosetta2014angalau 131 km[2]11 Novemba 2014 lander yake imetua juu ya kometi
Churyumov–Gerasimenko1969Philae (Rosetta's lander)201411 Novemba 2014 lander yake imetua juu ya nyotamkia

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-10. Iliwekwa mnamo 2014-09-11.