Nyoka-mchanga
Mandhari
Nyoka-mchanga | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kidurango (Psammophis angolensis)
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||
Spishi 34:
|
Nyoka-mchanga ni spishi za nyoka wa jenasi Psammophis katika familia Lamprophiidae. Nyoka-mchanga mdogo huitwa kidurango pia.
Nyoka hawa ni wafupi hadi warefu kiasi. Spishi nyingi ni sm 50-100 lakini nyoka-mchanga maridadi ni sm 45 kwa kipeo na nyoka-mchanga madoadoa anaweza kufika m 1.9. Kimsingi rangi yao ni kahawia lakini kwa kawaida wana milia myeusi, kijivu, njano na/au myekundu.
Nyoka-mchanga hula mijusi ambao wanawakamata ardhini au katika vichaka.
Chonge zao ni meno ya nyuma kabisa na ni ndefu kuliko zile za nyoka wengine wenye chonge za nyuma. Spishi kubwa zinaweza kuingiza kiasi cha sumu kinachotosha kwa kumletea mtu shida: kufura, kuvuja damu, unyeo mbaya na kichefuchefu.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Psammophis aegyptius Nyoka-mchanga Kaskazi (North African sand snake)
- Psammophis angolensis Kidurango au Nyoka-mchanga Mdogo (Dwarf sand snake)
- Psammophis ansorgii Nyoka-mchanga wa Angola (Link-marked sand racer)
- Psammophis biseriatus Nyoka-mchanga Milia-miwili (Two-striped sand racer)
- Psammophis brevirostris Nyoka-mchanga Pua-fupi (Short-snouted grass snake)
- Psammophis crucifer Nyoka-mchanga Milima (Montane grass snake)
- Psammophis elegans Nyoka-mchanga Mrembo (Elegant sand racer)
- Psammophis jallae Nyoka-mchanga wa Jalla (Jalla's sand snake)
- Psammophis leightoni Nyoka-mchanga wa Kepi (Cape sand snake)
- Psammophis leopardinus Nyoka-mchanga Chui (Leopard sand snake)
- Psammophis lineatus Nyoka-kititi Milia (Striped swamp snake)
- Psammophis mossambicus Nyoka-mchanga Zeituni (Olive sand snake)
- Psammophis namibensis Nyoka-mchanga wa Namibia (Namib sand snake)
- Psammophis notostictus Nyoka-mchanga wa Karuu (Karoo sand snake)
- Psammophis occidentalis Nyoka-mchanga Magharibi (Western sand snake)
- Psammophis orientalis Nyoka-mchanga Tumbo-milia (Eastern stripe-bellied sand snake)
- Psammophis phillipsii Nyoka-mchanga wa Phillips (Phillips's sand snake)
- Psammophis praeornatus Nyoka-mchanga Pambo (Ornate Olympic snake)
- Psammophis pulcher Nyoka-mchanga Maridadi (Beautiful sand snake)
- Psammophis punctulatus Nyoka-mchanga Madoadoa (Speckled sand snake)
- Psammophis rukwae Nyoka-mchanga wa Rukwa (Rukwa sand snake)
- Psammophis schokari Nyoka-mchanga wa Schokari (Schokari sand racer)
- Psammophis sibilans Nyoka-mchanga Milia (Striped sand snake)
- Psammophis subtaeniatus Nyoka-mchanga Tumbo-njano (Stripe-bellied sand snake)
- Psammophis sudanensis Nyoka-mchanga wa Sudani (Northern stripe-bellied sand snake)
- Psammophis tanganicus Nyoka-mchanga wa Tanganyika (Tanganyika sand snake)
- Psammophis trigrammus Nyoka-mchanga Magharibi-kusini (Western sand snake)
- Psammophis trinasalis Nyoka-mchanga Baka-uma (Fork-marked sand snake)
- Psammophis zambiensis Nyoka-mchanga wa Zambia (Zambian whip snake)
Spishi za Asia
[hariri | hariri chanzo]- Psammophis condanarus (Sand snake)
- Psammophis indochinensis (Indochinese sand snake)
- Psammophis leithii (Pakistan sand racer)
- Psammophis lineolatus (Steppe ribbon racer)
- Psammophis longifrons (Long sand racer)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Nyoka-mchanga kaskazi
-
Nyoka-mchanga milia-miwili
-
Nyoka-mchanga pua-fupi
-
Nyoka-mchanga milima
-
Nyoka-mchanga baka-panda
-
Nyoka-mchanga zeituni
-
Nyoka-mchanga wa Namibia
-
Nyoka-mchanga tumbo-milia
-
Nyoka-mchange madoadoa
-
Nyoka-mchanga wa Schokari
-
Nyoka-mchanga milia
-
Nyoka-mchanga tumbo-njano
-
Steppe ribbon racer
-
Long sand racer
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyoka-mchanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |