Nyimbo zilizotafsiriwa kwa Kijapani
Mandhari
Nyimbo zilizotafsiriwa kwa Kijapani ni nyimbo za lugha za kigeni ambazo zilitafsiriwa kwenda Kijapani. Hii ilianza kipindi cha nusu ya pili ya Karne ya 19 huko Japani, ambapo nyimbo za mtindo wa kimagharibi zilipoanza kutumika kwenye elimu ya shule. Nyimbo hizi zilikua zina utofauti na nyimbo zilizokua kwenye vitabu vya muziki vya Wizara ya Elimu ambazo zilitungwa na Wajapani.Nyimbo zilizotafsiriwa kwa mawazo mapana zinamaanisha nyimbo yoyote ya lugha ya kigeni ambayo imetafsiriwa kwenda Kijapani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyimbo zilizotafsiriwa kwa Kijapani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |