Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Nyaribari Chache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nyaribari Chache)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Nyaribari Chache ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Kisii.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Andrew John OmangaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Simeon NyachaeKANU
1997Simeon NyachaeKANU
2002Simeon NyachaeFord-People
2007Robert Onsare MondaNARC
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Bobaracho5,010Munisipali ya Kisii
Central7,049Munisipali ya Kisii
Ibeno / Keumbu19,383Gusii county
Kanga Hill2,862Munisipali ya Kisii
Kegati3,798Gusii county
Kiogoro6,226Gusii county
Nyansira1,285Keroka (Mji)
Nyaura5,801Munisipali ya Kisii
Jumla51,414
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]