Nenda kwa yaliyomo

Nyala, Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyala ni mji wa Sudan huko Darfur Kusini. Mwaka 2008 mji ulikuwa na wakazi 492,984.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyala, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.