Nenda kwa yaliyomo

Nurah Gyeile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nurah Gyeile ni msomi na mtaalamu wa masuala ya kilimo kutoka Ghana. Gyeile akiwa ni mwanachama wa chama cha New Patriotic Party (NPP) na anahudumu kama waziri katika wizara ya chakula na kilimo. [1]

  1. "Profile of Gyiele Kwaku, Dr. Nurah". webapps.knust.edu.gh (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2017-11-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nurah Gyeile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.