Nunzio Galantino
Mandhari
Nunzio Galantino (alizaliwa 16 Agosti 1948) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alikuwa Rais wa Utawala wa Mali ya Kiti cha Kitume (APSA) kuanzia 2018 hadi 2023. Awali, alihudumu kama Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia (CEI) kuanzia 30 Desemba 2013 hadi 26 Juni 2018 na Askofu wa Cassano all'Jonio kutoka 2012 hadi 2015. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pontifical Acts - 9 December". Vatican News. 9 Desemba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-30. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2014.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |