Ntongela Masilela
Mandhari
Ntongela Masilela (1948 - 2020 alikuwa profesa wa asili ya Afrika Kusini aliyefundisha Kingereza na Fasihi ya Dunia (na baada ya kustaafu, akawa Profesa Mstaafu wa Masomo ya Ubunifu) katika Chuo cha Pitzer. Masilela pia alikuwa profesa mshiriki wa Masomo ya Mwafrika-Mmarekani katika Chuo Kikuu cha California (kampasi za Irvine na Los Angeles).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ntongela Masilela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |