Novak Djokovich
(Elekezwa kutoka Novak Đoković)
Novak Djokovich | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 22 Mei 1987 Serbia |
Kazi yake | michezo - tenisi |
Novak Djokovich (22 Mei 1987, Belgrad; Kiserbia: Новак Ђоковић, Novak Đoković) ni mchezaji wa tenisi kutoka Serbia. Alishinda mashindano matano ya Grand Slam. Mwaka 2012 Djokovich alikuwa mchezaji bora duniani kwenye orodha ya ATP.[1]
Grand Slam[hariri | hariri chanzo]
- Australia open: Mshindi 2008, 2011, 2012, 2013.
- Ufaransa open: Fainali 2012, 2014.
- Wimbledon: Mshindi 2011, 2014.
- Marekani open: Mshindi 2011.
Picha nyumba ya sanaa[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ ATP World Rankings 2 Desemba 2012.