Noureddine Bedoui
Mandhari
Noureddine Bedoui (amezaliwa 22 Desemba 1959) ni mwanasiasa wa Algeria.
Aliwahi kuhudumu kama Waziri Mkuu wa Algeria kuanzia 11 Machi 2019 hadi 19 Desemba 2019.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "| Benin Web TV". Bénin Web TV (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-17.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Noureddine Bedoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |