Nenda kwa yaliyomo

Nour Imane Addi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nour Imane Addi (kwa Kiarabu: نوريمان عدي; alizaliwa tarehe 10 Juni 1997) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Morocco anayekipiga kama kiungo wa kati kwa klabu ya Campeonato Nacional Feminino ya Albergaria na timu ya taifa ya wanawake ya Morocco.[1][2]

  1. "Nour Imane Addi - Women's Soccer". South Alabama Jaguars. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "لائحة المنتخب الوطني النسوي التي ستخوض تجمعا إعداديا بالمعمورة" (kwa Kiarabu). 20 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nour Imane Addi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.