Nosa Owens-Ibie
Mandhari
Nosa Owens-Ibie ni profesa wa Nigeria wa Mawasiliano, Habari na Maendeleo ambae alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Caleb kilichopo jimbo la Lagos, Nigeria. Nosa aliteuliwa na baraza la uongozi la chuo hicho mnamo tarehe 1 Novemba, 2019. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Caleb University gets new Vice Chancellor". www.premiumtimesng.com. Iliwekwa mnamo 2025-01-13.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nosa Owens-Ibie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |