Norman Prescott-Davies
Mandhari
Norman Prescott-Davies (1862 – 1915) alikuwa mchoraji picha nchini Uingereza. Alichaguliwa kuwa Mwanachama Mshiriki wa Chuo cha Sanaa cha Kifalme (Associate of the Royal College of Art) mwaka 1891, na kwa Royal Society of British Artists mwaka 1893.[1]
- An Eastern beauty, 1881
- Norman Prescott-Davies, illustration in the Strand Magazine from 1891
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Houfe, Simon (1981). The Dictionary of British Book Illustrators and Caricaturists, 1800-1914: With Introd. Chapters on the Rise and Progress of the Art. Antique Collectors' Club. uk. 420. Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2017.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Norman Prescott-Davies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |