Norberto Rivera Carrera
Mandhari
Norberto Rivera Carrera (alizaliwa 6 Juni 1942) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Meksiko ambaye alikuwa askofu mkuu wa Mexico kuanzia 1995 hadi 2017. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1998. Alikuwa askofu wa Tehuacán kuanzia 1985 hadi 1995.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cardinale, Gianni (Juni 2002). "Il primo santo indio e l'assassinio del cardinale". 30 Giorni (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 27 Juni 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |