Nontando Nolutshungu
Mandhari
Nontando Judith Nolutshungu ni mwanasiasa wa Afrika Kusini na Mbunge wa Bunge la Taifa kupitia chama cha Economic Freedom Fighters (EFF).
Alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa EFF mwezi Desemba 2024.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "EFF: EFF welcomes Commissars Hlonyane and Nolutshungu to Parliament". Polity. 23 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nontando Nolutshungu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |