Nenda kwa yaliyomo

Noel Charles O'Regan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Noel Charles O’Regan (alizaliwa 14 Desemba 1941) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ireland ambaye aliwahi kuwa Askofu wa Jimbo la Ndola, nchini Zambia.

Alipewa dhamana ya kuwa askofu wa Ndola tarehe 1 Oktoba 2004 na Papa Yohane Paulo II. Alijiuzulu kutoka wadhifa huo tarehe 16 Januari 2010.[1]

  1. SMA Ireland (8 Desemba 2009). "Installation of Bishop O'Regan SMA". Society of African Missions Ireland (SMA Ireland). Cork, Ireland. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-18. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.