Noel Barrionuevo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Noel Barrionuevo
Noel Barrionuevo

María Noel Barrionuevo (amezaliwa 16 Mei 1984) ni mchezaji wa mpira wa magongo wa Argentina.

Alishinda medali ya shaba katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2008 huko Beijing na medali ya fedha katika Olimpiki ya majira ya joto ya 2012 huko London, na medali ya fedha katika Olimpiki ya majira ya joto ya 2020[1], na timu ya kitaifa ya argentina ya hockey.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Noel Barrionuevo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-23, iliwekwa mnamo 2021-12-25