NoViolet Bulawayo
Mandhari
| NoViolet Bulawayo | |
|---|---|
| Amezaliwa | Elizabeth Zandile Tshele 10/12/1981 |
| Uraia | zimbabwe |
NoViolet Bulawayo ni jina la kalamu la Elizabeth Zandile Tshele (alizaliwa 12 Oktoba 1981) ni mwandishi kutoka Zimbabwe.[1] Mnamo mwaka 2012, Shirika la Kitaifa la Vitabu lilimtambua kama mmoja wa washindi wa tuzo ya “5 Chini ya 35”.[2] Mnamo mwaka 2014, jarida la New African lilimorodhesha miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi barani Afrika. Riwaya yake ya kwanza, We Need New Names, iliingia katika orodha fupi ya Tuzo ya Booker mwaka 2013, na riwaya yake ya pili, Glory, pia iliingia katika orodha fupi ya Tuzo hiyo mwaka 2022, na hivyo kumfanya kuwa “mwanamke mweusi wa Kiafrika wa kwanza kuorodheshwa mara mbili kwenye orodha ya Tuzo ya Booker.”[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Staff Reporter (2013-07-23). "NoViolet Bulawayo makes Man Booker Prize longlist". The Mail & Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-10-25.
- ↑ "5 Under 35 2013". National Book Foundation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-10-25.
- ↑ "Noviolet Bulawayo's Glory, a Zimbabwean Masterpiece, Longlisted for 2022 Booker Prize". Brittle Paper (kwa American English). 2022-07-29. Iliwekwa mnamo 2025-10-25.
- ↑ "Zimbabwe's NoViolet Bulawayo makes Booker Prize shortlist with 'Glory'". Bulawayo24 News. Iliwekwa mnamo 2025-10-25.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu NoViolet Bulawayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |