Nenda kwa yaliyomo

Nneka (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nneka akitumbuiza katika ukumbi wa Cargo, London mnamo 2009.

Nneka Lucia Egbuna (alizaliwa 24 Desemba, 1980) [1] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka nchini Nigeria. Egbuna huimba kwa Kiingereza, Kiigbo na lugha ya Pijini ya Nigeria.

  1. "After the Escape: How Nneka Egbuna found a home in music – DW – 12/18/2017". dw.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-19.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nneka (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.