Nenda kwa yaliyomo

Nkechi Egbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nkechi Egbe
Amezaliwa 5 Februari 1978
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji Soka

Nkechi Egbe (alizaliwa 5 Februari 1978) ni mchezaji wa soka wa zamani wa nchini Nigeria. Egbe alicheza katika klabu Delta Queens na timu ya taifa ya nchini Nigeria na katika mashindano ya michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 2004.[1]

  1. "Olympic Women's Football Tournaments Athens 2004 – Squad List: Nigeria (NGR)". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-07. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2015. {{cite news}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 2013-01-28 suggested (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nkechi Egbe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.