Nenda kwa yaliyomo

Njama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Njama (kwa Kiingereza: conspiracy, plot, ploy, scheme[1]) ni mpango wa siri unaoandaliwa na mtu au watu kwa lengo la kufanya hila au ubaya kwa mwingine au wengine, kwa mfano uuaji au uhaini[2][3]. Mara nyingi kufanya njama ni kosa la jinai[4].

  1. Collins Dictionary: conspiracy
  2. "Conspiracy Definition & Meaning".
  3. "Conspiracy".
  4. "Conspiracy". merriam-webster.com. Iliwekwa mnamo Desemba 27, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njama kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.