Nenda kwa yaliyomo

Niraj Shah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Niraj S. Shah (alizaliwa 1973 au 1974) ni mfanyabiashara nchini Marekani.Mwanzilishi mwenza, mwenyekiti mwenza, na afisa mkuu mtendaji wa duka la rejareja mtandaoni la Wayfair.[1]Alianzisha Wayfair pamoja na Steve Conine mwaka 2002 na walikuza biashara hiyo kuwa muuzaji mkubwa zaidi mtandaoni wa samani za nyumbani, bidhaa za nyumbani na bidhaa za uboreshaji wa nyumbani nchini Marekani, ikizalisha dola bilioni 12.5 kwa mwaka wa fedha 2025[2][3] .

  1. "Niraj Shah". Fortune. Mei 9, 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 7, 2019. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Executive Profile: Niraj S. Shah". Bloomberg LP. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Wayfair CEO Niraj Shah: We've been a big beneficiary of internet disruption". CNBC. Agosti 8, 2017. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niraj Shah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.