Nile ya mlimani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nile ya Buluu na Nile Nyeupe ikiunganika karibu na Khartoum.
Matawimto yanavyounganika karibu na Khartoum, mji mkuu wa Sudan.

Nile ya mlimani (pia: "Baḥr al-Jabal" au "Baḥr el-Jebel" kutoka Kiarabu بحر الجبل) ni jina la mto Nile tangu uingie Sudan Kusini kutoka Uganda. Kuanzia Ziwa No nchini Sudan Kusini hadi kuungana na Nile ya Buluu mto unaitwa "Nile Nyeupe" kwa maana halisi[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. (1905) Christus Liberator: An Outline Study of Africa (in en). Macmillan Company, 7. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nile ya mlimani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.