Nikollë Bojaxhiu
Mandhari
Nikollë Bojaxhiu (pia anajulikana kama Nikola Bojaxhiu[1][2][3][4][5]; 1874 hivi – 1919) alikuwa mfanyabiashara, mfadhili, na mwanasiasa wa Albania katika Dola la Osmani. Pia alikuwa baba mzazi wa sista mmisionari wa Kanisa Katoliki, Mama Teresa. Kampuni yake ilijenga jumba la kwanza la ukumbi wa michezo (theatre) mjini Skopje na ilishiriki katika ujenzi wa njia ya reli iliyounganisha Kosovo na Skopje—mradi ambao aliufadhili yeye mwenyewe binafsi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fitzpatrick, Anne (2005). Mother Teresa. Creative Education. uk. 7. ISBN 9781583413302. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ruth, Amy (1999). Mother Teresa. Lerner Publications. uk. 8. ISBN 9780822549437. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Slavicek, Louise Chipley (2013). Mother Teresa. Infobase Learning. ISBN 9781438147413. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ānanda, Aruna (2013). Indian Nobel Laureates. Ocean Books. ISBN 9788184302370. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Spink, Kathryn (2011). Mother Teresa (Revised Edition) - An Authorized Biography. HarperOne. uk. 5. ISBN 9780062105936. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nikollë Bojaxhiu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |