Nenda kwa yaliyomo

Nikolay Semyonov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nikolay Semyonov

Nikolay Nikolayevich Semyonov (15 Aprili 189625 Septemba 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza nishati mwendo. Mwaka wa 1956, pamoja na Cyril Hinshelwood alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikolay Semyonov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.