Nikolaus von Schönberg
Mandhari

Nikolaus von Schönberg (11 Agosti 1472 – 7 Septemba 1537) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki wa Ujerumani na Askofu Mkuu wa Capua, Italia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nicholas Copernicus". Calendars Through The Ages (kwa Kiingereza) – kutoka WebExhibits.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |