Nikolaus Messmer
Mandhari
Nikolaus Messmer, S.J. (19 Desemba 1954 – 18 Julai 2016) alikuwa mmisionari wa Kikatoliki ambaye alihudumu kama askofu wa jimbojina la Carmeiano na msimamizi wa kwanza wa Utawala wa Kipapa wa Kirgizia kutoka mwaka 2006 hadi kifo chake mnamo 2016.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Nikolaus Messmer, S.J." Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)[self-published source] - ↑ Apostolic Administration of Kyrgyzstan
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |