Nikola Eterović
Mandhari
Nikola Eterović (amezaliwa 20 Januari 1951) ni askofu mkuu wa Kroatia katika Kanisa Katoliki, ambaye amehudumu kama Balozi wa Papa nchini Ujerumani tangu mwaka 2013.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la CI. 2009. uk. 1070. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |