Nike Peller
Mandhari
Nike Peller ni mwigizaji wa filamu wa Yoruba aliyezaliwa Nigeria, msanii wa maigizo na mwigizaji wa sanaa za jukwaani. Anajulikana kuwa binti wa marehemu Professor Peller. Nike ana cheo cha kimila cha Yeye Agbasaga wa Erin Osun, ambacho alipewa mwaka 2010.
Filamu alizoshiriki
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.imdb.com/name/nm2685324/
- ↑ https://encomium.ng/nike-peller-exclusive-its-true-some-of-my-colleagues-are-scared-of-me-i-look-up-to-god-for-good-children-and-long-life/
- ↑ https://dailypost.ng/2014/05/13/nike-peller-follows-fathers-footsteps-dumps-acting-magic-photos/
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nike Peller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |