Nike Mercurial Vapor Superfly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nike Mercurial Vapor Superfly.

Nike Mercurial Vapor ni viatu maalumu vinavyotumika kuchezea mpira wa miguu vilivyotengenezwa na Nike. Viatu hivi vinajulikana kwa kuwa nyepesi. Kwa sababu hiyo, viatu vimeidhinishwa na wachezaji wengi ambao kasi yao ni sehemu ya mchezo wao, hasa washambuliaji, kama vile Cristiano Ronaldo, Franck Ribéry, Luiz Adriano, Zlatan Ibrahimović, Didier Drogba, Jesús Navas, Luka Modrić, Arturo Vidal , Douglas Costa, Xherdan Shaqiri, Raheem Sterling, Stephan El Shaarawy, Hazard Eden, Alexis Sánchez, Carlos Bacca na Philippe Coutinho.