Nicolas de Saulx-Tavannes
Mandhari
Nicolas-Charles de Saulx-Tavannes (Paris, 19 Septemba 1690 – Paris, 10 Machi 1759) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Ufaransa wa karne ya 18.
Alikuwa Peer wa Ufaransa, Askofu Mkuu wa Rouen, Kardinali, na Grand Almoner wa Ufaransa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |