Nenda kwa yaliyomo

Nicola Guidi di Bagno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicola Guidi di Bagno (alizaliwa Mantova, Italia, 1583) alikuwa Askofu Mkuu wa Atenia, Askofu wa Senigallia, na Kardinali. Alitoka katika familia ya makabaila, ambapo kaka yake Gianfrancesco Guidi di Bagno na mjomba wake Girolamo Colonna pia walikuwa makardinali.[1]

  1. ↑ Gauchat, Patritius (Patrice) (1935). Hierarchia catholica. Juz. la Tomus IV (1592-1667). Münster: Libraria Regensbergiana., p. 99.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.