Nenda kwa yaliyomo

Nicola De Angelis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicola De Angelis, C.F.I.C. (23 Januari 193916 Juni 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki mwenye asili ya Italia.

Alihudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Peterborough, Ontario, Kanada.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.