Nenda kwa yaliyomo

Nicolò Anselmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicolò Anselmi (alizaliwa Genova, 9 Mei 1961) ni askofu wa Kanisa Katoliki wa Italia ambaye amehudumu kama Askofu wa Rimini, Kaskazini mwa Italia, tangu 17 Novemba 2022.[1]

  1. "Biografia di Mons. Nicolò Anselmi" (PDF). 17 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.