Nicolás Antonio Castellanos Franco
Mandhari

Nicolás Antonio Castellanos Franco (18 Februari 1935 – 19 Februari 2025) alikuwa mhashamu wa Kanisa Katoliki la Kirumi na mchungaji wa Kihispania. Alikuwa askofu wa Palencia kuanzia mwaka 1978 hadi 1991.
Castellanos Franco alifariki dunia tarehe 19 Februari 2025, akiwa na umri wa miaka 90. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nicolás Antonio Castellanos Franco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |